Utangulizi


Sifa njema zote anastahiki Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote, na rehema na amani zimshukie aliye khitimisha  Mitume wote, Bwana wetu Muhammad, na Aali zake, na Masahaba wake, na walio wafuata.
Hizi ni kurasa zilizo kusudiwa wanadamu wenye imani tofauti, kutembelea kwako hapa ni moja ya sababu itakayo kupelea kuongeza kile ambacho aidha
unakifahamu au hukifahamu.
Basi ungana nami kwenye mtandao huu, ili tuweze kufikishiana ujumbe malidhawa.

Uislam:

Uislamu ndio dini ya maumbile bila ya mashindano. Yaani Uislamu ndio mfumo wa maisha unaokwenda sambamba na maumbile ya mwanadamu na ulimwengu wake. Kwa mantiki hii tunaweza kusema kwa kinywa kipana kabisa kwamba Uislamu ndio dini ya jamii ya wanadamu. Uislamu haukuitwa dini ya jamii ya wanadamu kwa kuropoka tu au kwa hamasa na jazba. Imeitwa hivyo kwa sababu zifuatazo:-

-Imesheheni desturi zinazokubaliana na akili.
-Ina uongofu unaouangazia na kuupa nuru moyo.
-Inabeba maendeleo yanayofaa kwa hali, mahala na zama zote.
-Ina sheria inayokidhi hali na mahitaji yote ya jamii katika nyanja zote za maisha.
-Ina dhana ya usawa unaowaunganisha pamoja watu wote bila ya kujali lugha, rangi au hali zao za kimaisha.
Sheria yake ina dhima ya kumpa mwanadamu maisha ya amani, utulivu, raha, furaha na heshima katika nafsi, mwili, akili na mali.
Haya na mengineyo ndiyo yanayoufanya Uislamu uwe ni dini inayokubaliwa na kuridhiwa na mwanadamu kwa kuwa inayogusa moja kwa moja maumbile yake.

Islam:

As a particular system of faith and worship based on such a faith', Islam can be termed as a religion.

According to the Islamic belief, the history of Islam is as old as that of man's. Literally meaning 'submission to God', Islam holds that all the prophets of God, be it Adam, Noah, Abraham, Isaac, Ishmael, Jacob, Joseph, Moses or Jesus were prophets of Islam. All of them introduced man to the same basic teachings of the All-Knowing God. All of them invited man to 'submit to God' and were therefore messengers of Islam. The last among these messengers, according to the Muslim belief was Mohammad (peace be upon him). From the family of Ishmael (son of Abraham) he was born in the Arabian Peninsula in 576 AD. During the twenty-three years of his ministry, Mohammad (pbuh) was given God's revelation. This revelation was later on compiled and arranged, according to God's directives, and transmitted by the companions of the Prophet through the perpetuation of every subsequent generation of Muslims all over the world to the present times.

A basic introduction of Islam can be seen in one of my previous responses.